FAIDA ZA KUJIFUNDISHA QUR AN NA KUIFUNDISHA
๐ *HADITHI YA KUFUNGIA GROUP* ๐
๐ _ูุงู ุฑุณูู ุงููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู
:_๐
๐ _Amesema Mtume wa Allah rehema na Amani ziwe juu yake:_ ๐
๐ชด _((ุฎูุฑูู
ู
ู ุชุนูู
ุงููุฑุขู ูุนูู
ู))_๐
๐ฟ _((Mbora wenu nu yule anaejifundisha Qur,an na akaifundisha (kwa wengine))_๐ฟ
๐ท ```ุฑูุงู ุงูุจุฎุงุฑู```
```Ameisimulia Imamu Bukhary``` ๐ท
๐ _ูุงู ุฑุณูู ุงููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู
:_ ๐
๐ _Amesema Mtume wa Allah rehema na Amani ziwe juu yake:_๐
๐น _((ู
ู ุนูู
ุขูุฉ ู
ู ูุชุงุจ ุงููู ุนุฒ ูุฌู ูุงู ูู ุซูุงุจูุง ู
ุง ุชููุช))_๐น
_๐ฅ((Yoyote yule atakaeifundisha aya moja tu kwenye kitabu cha Allah mtukufu, atapata yeye thawabu zake kwa kila aya itakaposomwa))_๐ฅ
๐ชท```ุฑูุงู ุงูุจุฎุงุฑู```
```Ameisimulia Imamu Bukhary```๐ชท
*==================*
๐บ *Faida*๐บ
๐- _Yoyote aliejifundisha qur,an basi hupata daraja za juu mbele ya Allah mtukufu._๐ฒ
๐พ- _Hawawi sawa wale waliojifunza qur,an na wasiojifunza , lakini hupata ubora zaidi iwapo aliejifundisha kama ataifundisha kwa wengine_๐พ
๐ธ- _Thawabu za kuifundisha qur,an ni zenye kuendelea mpaka siku ya mwisho iwapo uliowafundisha watakua ni wenye kunufaika nayo_๐ธ
๐- _Kitu pekee cha kutupatia utukufu duniani na akhera ni Qur,an_๐
*===================*
๐ชปูุชุจู ุงููููุฑ ุฅูู ุงููู ุงูุฑุงุฌู ุนูู ุฑุจู.๐ชป
``` ๐ปAmeindika mwenye kumhitajia Allah mwenye kutaraji msamaha wake```๐ผ

Comments
Post a Comment