*HADITH ZA RAMADHANI ZILIZO MAARUF AMBAZO SI SAHIHI..* الحديث الأول : (شهر رمضان أوله رحمه وأوسطه مغفرة وآخره عتق من النار) ( Mwezi wa Ramadhani mwanzo wake ni REHMA na kati kati yake MSAMAHA na mwisho wake ni KUACHWA HURU NA MOTO ). 📚 حديث منكر ، انظر كتاب : [سلسلة الأحاديث الضعيفة والموضوعة للألباني (2/262)] الحديث الثاني : (صوموا تصحوا)(Fungeni mtapata afya) 📚حديث ضعيف ، أنظر كتاب : [سلسلة الأحاديث الضعيفة والموضوعة للألباني (1/420)] الحديث الثالث : (من أفطر يوما من رمضان من غير عذر ولامرض لم يقضه صوم الدهر وإن صامه) (Atakae kula siku moja ktk mwez wa ramadhani bila ya udhuru wala maradhi hatoilipa kwa kufunga milele hata kama atafunga ) 📚 حديث ضعيف ، انظر كتاب :[مشكاة المصابيح تحقيق الألباني (1/626)] [ضعيف سنن الترمذي للألباني حديث رقم (115)] الحديث الرابع : (إن لله عند كل فطر عتقاء من النار) ( Ha...
Posts
Showing posts from 2018
Safari ya kuelekea nyumba ya akhera
- Get link
- X
- Other Apps
بسم الله الرحمن الرحيم. الرحلة الى دار الآخرة SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA IMEANDIKWA NA :ABDULBARRY Phone no: +255 778 682 699 +249 992 261 471 Email: suleimans003@gmail.com FUATILIA SILSILA HII HUENDA ALLAH AKAJAALIA KHERI NDANI YAKE: SEHEMU YA 3: Ilipoishia sehemu ya pili: Jee ni kwa hali gani utayakabili mauti? Je ni zawadi gani utayoichukua ikufae kaburini? Je hali itakuaje siku ya kufufuliwa? Je hesabu yako umeiandaa kuwa upade gani? Je utalipokea daftari lako kwa mkono gani? Je mezani yako itakua nzito kwa amali gani? Je utasalimika kuivuka sirati (daraja) ? Je umeshajiandaa kukabidhiwa malipo yako? Haya maswali yajaalie ni miongoni mwa mambo yako ambayo yanakupitikia akilini mwako kila siku, Maswali hayo majawabu yake yapo kichwani mwako, siri yako wewe na nafsi yako, zinduka zingatia ! Sasa endelea nayo … Katika sehemu hii ya...
Safari ya kuelekea nyumba ya akhera
- Get link
- X
- Other Apps
بسم الله الرحمن الرحيم. الرحلة الى دار الآخرة SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA IMEANDIKWA NA :ABDULBARRY Phone no: +255 778 682 699 +249 992 261 471 Email: suleimans003@gmail.com FUATILIA SILSILA HII HUENDA ALLAH AKAJAALIA KHERI NDANI YAKE: SEHEMU YA 2: Ilipoishia sehemu ya kwanza: Pia allah sw, ameapa na mwezi pale unapokamilika , baada ya kua mwezi ulikua mchanga kabisa kisha ukakua hali tofauti mpaka ukafikia kukamilika kwa umbo lake kamili, Vuta taswira hii na maisha yako wewe tangu unazaliwa mpaka kufikia ukubwa wako, jee una mda gani ulobakisha wa kuishi katika dunia hii ? zinduka hujacherewa ! Ikiwa hiyo ndio hali ilivyo basi tambua ndugu muislamu hakuna kwenye kukamilika kwa kwa kitu chochote ila huja mapungufu. Endelea : … baada ya kiapo hicho ambacho allah amekiapa ameweka jawabu la kiapo hicho mbele yake , ...
SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA
- Get link
- X
- Other Apps
بسم الله الرحمن الرحيم. الرحلة الى دار الآخرة SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA IMEANDIKWA NA :ABDULBARRY Phone no: +255 778 682 699 +249 992 261 471 Email: suleimans003@gmail.com FUATILIA SILSILA HII HUENDA ALLAH AKAJAALIA KHERI NDANI YAKE: SEHEMU YA 1: أعوذ بالله من الشيطان الرجيم فلا أقسم بالشفق . والليل وما وسق. والق...
- Get link
- X
- Other Apps
Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh,, Ndugu Waislamu yapasa kumshukuru Allah kwa kila pumzi tunayoitumia katika mgongo huu wa ardhi, kwani wengi mno hawanazo Tena zimeshawatika au wakiwa wanatumia mipira ya kupumulia,, hivyo wewe sio mjanja kua bado unapata neema hio na wala yeye sio mjinga kwa kukosa kwake bali ni mipango ya Allah mtukufu, Wabillahi ttawfiiq.