Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh,,

Ndugu Waislamu yapasa kumshukuru Allah kwa kila pumzi tunayoitumia katika mgongo huu wa ardhi,  kwani wengi mno hawanazo Tena zimeshawatika au wakiwa wanatumia mipira ya kupumulia,, hivyo  wewe sio mjanja kua bado unapata neema hio na wala yeye sio mjinga kwa kukosa kwake bali ni mipango ya Allah mtukufu,

Wabillahi ttawfiiq.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA KUJIFUNDISHA QUR AN NA KUIFUNDISHA

SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA