Posts

FAIDA ZA KUJIFUNDISHA QUR AN NA KUIFUNDISHA

Image
🛑 *HADITHI YA KUFUNGIA GROUP* 🛑 🍃 _قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :_🍃 🍂 _Amesema Mtume wa Allah rehema na Amani ziwe juu yake:_ 🍂 🪴  _((خيركم من تعلم القرآن وعلمه))_🎍  🌿 _((Mbora wenu nu yule anaejifundisha Qur,an na akaifundisha (kwa wengine))_🌿 🌷 ```رواه البخاري```  ```Ameisimulia Imamu Bukhary``` 🌷 🍃 _قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :_ 🍃 🍂 _Amesema Mtume wa Allah rehema na Amani ziwe juu yake:_🍂 🌹 _((من علم آية من كتاب الله عز وجل كان له ثوابها ما تليت))_🌹 _🥀((Yoyote yule atakaeifundisha aya moja tu kwenye kitabu cha Allah mtukufu, atapata yeye thawabu zake kwa kila aya itakaposomwa))_🥀 🪷```رواه البخاري```  ```Ameisimulia Imamu Bukhary```🪷 *==================* 🌺 *Faida*🌺 🎄- _Yoyote aliejifundisha qur,an  basi hupata daraja za juu mbele ya Allah mtukufu._🌲 🌾- _Hawawi sawa wale waliojifunza qur,an na wasiojifunza , lakini hupata ubora zaidi iwapo aliejifundisha kama ataifundisha kwa wengine_🌾 🌸- _Thawabu za kuifundisha qur,an ni ...
*HADITH ZA RAMADHANI ZILIZO MAARUF AMBAZO SI SAHIHI..*  الحديث الأول :  (شهر رمضان أوله رحمه وأوسطه مغفرة وآخره عتق من النار) ( Mwezi wa Ramadhani mwanzo wake ni REHMA na kati kati yake MSAMAHA na mwisho wake ni KUACHWA HURU NA  MOTO ). 📚 حديث منكر ، انظر كتاب : [سلسلة الأحاديث الضعيفة والموضوعة للألباني (2/262)]            الحديث الثاني :  (صوموا تصحوا)(Fungeni mtapata afya) 📚حديث ضعيف ، أنظر كتاب : [سلسلة الأحاديث الضعيفة والموضوعة للألباني (1/420)]            الحديث الثالث : (من أفطر يوما من رمضان من غير عذر ولامرض لم يقضه صوم الدهر وإن صامه) (Atakae kula siku moja ktk mwez wa ramadhani bila ya udhuru wala maradhi hatoilipa kwa kufunga milele hata kama atafunga ) 📚 حديث ضعيف ، انظر كتاب :[مشكاة المصابيح تحقيق الألباني (1/626)] [ضعيف سنن الترمذي للألباني حديث رقم (115)]            الحديث الرابع :  (إن لله عند كل فطر عتقاء من النار)  ( Ha...

Safari ya kuelekea nyumba ya akhera

بسم الله الرحمن الرحيم. الرحلة الى دار الآخرة SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA IMEANDIKWA NA :ABDULBARRY          Phone no: +255 778 682 699         +249 992 261 471         Email: suleimans003@gmail.com FUATILIA SILSILA HII HUENDA ALLAH AKAJAALIA KHERI NDANI YAKE: SEHEMU YA 3:  Ilipoishia sehemu ya pili: Jee ni kwa hali gani utayakabili mauti? Je ni zawadi gani utayoichukua ikufae kaburini? Je hali itakuaje siku ya kufufuliwa? Je hesabu yako umeiandaa kuwa upade gani? Je utalipokea daftari lako kwa mkono gani? Je mezani yako itakua nzito kwa amali gani? Je utasalimika kuivuka sirati  (daraja) ? Je umeshajiandaa kukabidhiwa malipo yako? Haya maswali yajaalie ni miongoni mwa mambo yako ambayo yanakupitikia akilini mwako kila siku, Maswali hayo majawabu yake yapo kichwani mwako, siri yako wewe na nafsi yako,  zinduka zingatia ! Sasa endelea nayo …     Katika sehemu hii ya...

Safari ya kuelekea nyumba ya akhera

بسم الله الرحمن الرحيم. الرحلة الى دار الآخرة SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA IMEANDIKWA NA :ABDULBARRY          Phone no: +255 778 682 699         +249 992 261 471         Email: suleimans003@gmail.com FUATILIA SILSILA HII HUENDA ALLAH AKAJAALIA KHERI NDANI YAKE: SEHEMU YA 2:  Ilipoishia sehemu ya kwanza: Pia allah sw, ameapa na mwezi pale unapokamilika ,  baada ya kua mwezi ulikua mchanga kabisa  kisha ukakua hali tofauti  mpaka ukafikia kukamilika kwa umbo lake kamili, Vuta taswira hii na maisha yako wewe tangu unazaliwa mpaka kufikia ukubwa wako, jee  una mda gani ulobakisha wa kuishi katika dunia hii ?   zinduka  hujacherewa ! Ikiwa hiyo ndio hali ilivyo  basi tambua ndugu muislamu   hakuna kwenye kukamilika kwa kwa kitu chochote ila huja mapungufu. Endelea : … baada ya kiapo hicho ambacho allah amekiapa ameweka jawabu la kiapo hicho mbele yake , ...

SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA

                                                           بسم الله الرحمن الرحيم.                                                               الرحلة الى دار الآخرة                                           SAFARI YA KUELEKEA NYUMBA YA AKHERA IMEANDIKWA NA :ABDULBARRY          Phone no: +255 778 682 699         +249 992 261 471         Email: suleimans003@gmail.com FUATILIA SILSILA HII HUENDA ALLAH AKAJAALIA KHERI NDANI YAKE: SEHEMU YA 1: أعوذ بالله من الشيطان الرجيم فلا أقسم بالشفق . والليل وما وسق. والق...
Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh,, Ndugu Waislamu yapasa kumshukuru Allah kwa kila pumzi tunayoitumia katika mgongo huu wa ardhi,  kwani wengi mno hawanazo Tena zimeshawatika au wakiwa wanatumia mipira ya kupumulia,, hivyo  wewe sio mjanja kua bado unapata neema hio na wala yeye sio mjinga kwa kukosa kwake bali ni mipango ya Allah mtukufu, Wabillahi ttawfiiq.