🛑 *HADITHI YA KUFUNGIA GROUP* 🛑 🍃 _قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :_🍃 🍂 _Amesema Mtume wa Allah rehema na Amani ziwe juu yake:_ 🍂 🪴 _((خيركم من تعلم القرآن وعلمه))_🎍 🌿 _((Mbora wenu nu yule anaejifundisha Qur,an na akaifundisha (kwa wengine))_🌿 🌷 ```رواه البخاري``` ```Ameisimulia Imamu Bukhary``` 🌷 🍃 _قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :_ 🍃 🍂 _Amesema Mtume wa Allah rehema na Amani ziwe juu yake:_🍂 🌹 _((من علم آية من كتاب الله عز وجل كان له ثوابها ما تليت))_🌹 _🥀((Yoyote yule atakaeifundisha aya moja tu kwenye kitabu cha Allah mtukufu, atapata yeye thawabu zake kwa kila aya itakaposomwa))_🥀 🪷```رواه البخاري``` ```Ameisimulia Imamu Bukhary```🪷 *==================* 🌺 *Faida*🌺 🎄- _Yoyote aliejifundisha qur,an basi hupata daraja za juu mbele ya Allah mtukufu._🌲 🌾- _Hawawi sawa wale waliojifunza qur,an na wasiojifunza , lakini hupata ubora zaidi iwapo aliejifundisha kama ataifundisha kwa wengine_🌾 🌸- _Thawabu za kuifundisha qur,an ni ...
Comments
Post a Comment